Yohane 14:17 BHN

17 Yeye ni Roho wa ukweli. Ulimwengu hauwezi kumpokea kwa sababu hauwezi kumwona wala kumjua. Lakini nyinyi mnamjua kwa sababu anabaki nanyi na yu ndani yenu.

Kusoma sura kamili Yohane 14

Mtazamo Yohane 14:17 katika mazingira