Yohane 14:19 BHN

19 Bado kidogo nao ulimwengu hautaniona tena, lakini nyinyi mtaniona; na kwa kuwa mimi ni hai, nanyi pia mtakuwa hai.

Kusoma sura kamili Yohane 14

Mtazamo Yohane 14:19 katika mazingira