Yohane 14:21 BHN

21 Azipokeaye amri zangu na kuzishika, yeye ndiye anipendaye. Naye anipendaye mimi atapendwa na Baba yangu, nami nitampenda na kujidhihirisha kwake.”

Kusoma sura kamili Yohane 14

Mtazamo Yohane 14:21 katika mazingira