Yohane 14:24 BHN

24 Asiyenipenda hashiki maneno yangu. Na neno mlilosikia si langu, bali ni lake Baba aliyenituma.

Kusoma sura kamili Yohane 14

Mtazamo Yohane 14:24 katika mazingira