Yohane 14:27 BHN

27 “Nawaachieni amani; nawapeni amani yangu. Siwapi nyinyi kama vile ulimwengu ufanyavyo. Msiwe na wasiwasi, wala msifadhaike.

Kusoma sura kamili Yohane 14

Mtazamo Yohane 14:27 katika mazingira