22 Nyinyi pia mna huzuni sasa; lakini nitawajieni tena, nanyi mtajaa furaha mioyoni mwenu, na furaha hiyo hakuna mtu atakayeiondoa kwenu.
Kusoma sura kamili Yohane 16
Mtazamo Yohane 16:22 katika mazingira