1 Yesu alipokwisha sema hayo, alitazama juu mbinguni, akasema, “Baba, ile saa imefika! Mtukuze Mwanao ili naye Mwana apate kukutukuza.
Kusoma sura kamili Yohane 17
Mtazamo Yohane 17:1 katika mazingira