Yohane 17:12 BHN

12 Nilipokuwa nao, mimi niliwaweka salama kwa nguvu ya jina lako ulilonipa. Mimi nimewalinda, wala hakuna hata mmoja wao aliyepotea, isipokuwa yule mwana mpotevu, ili Maandiko Matakatifu yapate kutimia.

Kusoma sura kamili Yohane 17

Mtazamo Yohane 17:12 katika mazingira