1 Yesu alipokwisha sema hayo, alikwenda ngambo ya kijito Kedroni, pamoja na wanafunzi wake. Mahali hapo palikuwa na bustani, naye Yesu akaingia humo pamoja na wanafunzi wake.
Kusoma sura kamili Yohane 18
Mtazamo Yohane 18:1 katika mazingira