Yohane 18:16 BHN

16 Lakini Petro alikuwa amesimama nje, karibu na mlango. Basi, huyo mwanafunzi mwingine aliyekuwa anajulikana kwa kuhani mkuu alitoka nje akasema na mjakazi, mngojamlango, akamwingiza Petro ndani.

Kusoma sura kamili Yohane 18

Mtazamo Yohane 18:16 katika mazingira