Yohane 18:18 BHN

18 Watumishi na walinzi walikuwa wamewasha moto kwa sababu kulikuwa na baridi, wakawa wanaota moto. Naye Petro alikuwa amesimama pamoja nao akiota moto.

Kusoma sura kamili Yohane 18

Mtazamo Yohane 18:18 katika mazingira