Yohane 18:20 BHN

20 Yesu akamjibu, “Nimesema na kila mtu daima hadharani. Kila mara nimefundisha katika masunagogi na hekaluni, mahali wanapokutana Wayahudi wote; na wala sijasema chochote kwa siri.

Kusoma sura kamili Yohane 18

Mtazamo Yohane 18:20 katika mazingira