Yohane 18:22 BHN

22 Alipokwisha sema hayo mlinzi mmoja aliyekuwa amesimama hapo akampiga kofi akisema, “Je, ndivyo unavyomjibu kuhani mkuu?”

Kusoma sura kamili Yohane 18

Mtazamo Yohane 18:22 katika mazingira