26 Mmoja wa watumishi wa kuhani mkuu, jamaa wa yule aliyekatwa sikio na Petro, akamwuliza, “Je, mimi sikukuona wewe bustanini pamoja naye?”
Kusoma sura kamili Yohane 18
Mtazamo Yohane 18:26 katika mazingira