Yohane 18:28 BHN

28 Basi, walimchukua Yesu kutoka kwa Kayafa, wakampeleka ikulu. Ilikuwa alfajiri, nao ili waweze kula Pasaka, hawakuingia ndani ya ikulu wasije wakatiwa unajisi.

Kusoma sura kamili Yohane 18

Mtazamo Yohane 18:28 katika mazingira