Yohane 18:36 BHN

36 Yesu akamjibu, “Ufalme wangu si wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, watumishi wangu wangenipigania nisitiwe mikononi mwa Wayahudi. Lakini sasa ufalme wangu si wa hapa.”

Kusoma sura kamili Yohane 18

Mtazamo Yohane 18:36 katika mazingira