Yohane 18:39 BHN

39 Lakini, mnayo desturi kwamba mimi niwafungulie mfungwa mmoja wakati wa Pasaka. Basi, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?”

Kusoma sura kamili Yohane 18

Mtazamo Yohane 18:39 katika mazingira