5 Nao wakamjibu, “Yesu Mnazareti!” Yesu akawaambia, “Mimi ndiye.” Msaliti Yuda alikuwa amesimama hapo pamoja nao.
Kusoma sura kamili Yohane 18
Mtazamo Yohane 18:5 katika mazingira