Yohane 19:23 BHN

23 Askari walipokwisha msulubisha Yesu, walizichukua nguo zake, wakazigawa mafungu manne, fungu moja kwa kila askari. Walichukua pia na kanzu yake; kanzu hiyo ilikuwa imefumwa kwa kipande kimoja tu, bila mshono.

Kusoma sura kamili Yohane 19

Mtazamo Yohane 19:23 katika mazingira