Yohane 19:39 BHN

39 Naye Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea Yesu usiku, akaja akiwa amechukua mchanganyiko wa manemane na ubani kiasi cha kilo thelathini.

Kusoma sura kamili Yohane 19

Mtazamo Yohane 19:39 katika mazingira