Yohane 19:41 BHN

41 Mahali hapo aliposulubiwa Yesu palikuwa na bustani, na katika bustani hiyo kulikuwa na kaburi jipya ambalo hakutiwa bado mtu yeyote ndani yake.

Kusoma sura kamili Yohane 19

Mtazamo Yohane 19:41 katika mazingira