Yohane 2:12 BHN

12 Baada ya hayo, Yesu alishuka pamoja na mama yake, ndugu zake na wanafunzi wake, wakaenda Kafarnaumu ambako walikaa kwa siku chache.

Kusoma sura kamili Yohane 2

Mtazamo Yohane 2:12 katika mazingira