Yohane 2:18 BHN

18 Baadhi ya Wayahudi wakamwuliza Yesu, “Utafanya mwujiza gani kuonesha kwamba unayo haki kufanya mambo haya?”

Kusoma sura kamili Yohane 2

Mtazamo Yohane 2:18 katika mazingira