Yohane 2:6 BHN

6 Hapo palikuwa na mitungi sita ya mawe, ambayo kila mmoja uliweza kuchukua kiasi cha madebe mawili au matatu. Ilikuwa imewekwa hapo kufuatana na desturi ya Kiyahudi ya kutawadha.

Kusoma sura kamili Yohane 2

Mtazamo Yohane 2:6 katika mazingira