Yohane 2:9 BHN

9 Mkuu wa karamu alipoonja hayo maji, kumbe yalikuwa yamegeuka kuwa divai. Yeye hakujua ilikotoka, (lakini wale watumishi waliochota maji walijua). Mkuu wa karamu akamwita bwana arusi,

Kusoma sura kamili Yohane 2

Mtazamo Yohane 2:9 katika mazingira