Yohane 20:11 BHN

11 Maria alikuwa amesimama nje ya kaburi, akilia. Huku akiwa bado analia, aliinama na kuchungulia kaburini,

Kusoma sura kamili Yohane 20

Mtazamo Yohane 20:11 katika mazingira