Yohane 20:13 BHN

13 Hao malaika wakamwuliza, “Mama, kwa nini unalia?” Naye akawaambia, “Wamemwondoa Bwana wangu, na wala sijui walikomweka!”

Kusoma sura kamili Yohane 20

Mtazamo Yohane 20:13 katika mazingira