Yohane 20:17 BHN

17 Yesu akamwambia, “Usinishike; sijaenda bado juu kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu uwaambie: Naenda juu kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu.”

Kusoma sura kamili Yohane 20

Mtazamo Yohane 20:17 katika mazingira