2 Basi, akaenda mbio hadi kwa Petro na yule mwanafunzi mwingine ambaye Yesu alimpenda, akawaambia, “Wamemwondoa Bwana kaburini, na wala hatujui walikomweka.”
Kusoma sura kamili Yohane 20
Mtazamo Yohane 20:2 katika mazingira