Yohane 21:11 BHN

11 Basi, Simoni Petro akapanda mashuani, akavuta hadi nchi kavu ule wavu uliokuwa umejaa samaki wakubwa 153. Na ingawa walikuwa wengi hivyo, wavu haukukatika.

Kusoma sura kamili Yohane 21

Mtazamo Yohane 21:11 katika mazingira