Yohane 21:16 BHN

16 Kisha akamwambia mara ya pili, “Simoni mwana wa Yohane! Je, wanipenda?” Petro akamjibu, “Naam, Bwana; wajua kwamba nakupenda.” Yesu akamwambia, “Tunza kondoo wangu.”

Kusoma sura kamili Yohane 21

Mtazamo Yohane 21:16 katika mazingira