Yohane 21:20 BHN

20 Hapo Petro akageuka, akamwona yule mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda, anafuata (Huyu mwanafunzi ndiye yule ambaye wakati wa chakula cha jioni, alikaa karibu sana na Yesu na kumwuliza: “Bwana ni nani atakayekusaliti?”)

Kusoma sura kamili Yohane 21

Mtazamo Yohane 21:20 katika mazingira