Yohane 21:3 BHN

3 Simoni Petro aliwaambia, “Nakwenda kuvua samaki.” Nao wakamwambia, “Nasi tutafuatana nawe.” Basi, wakaenda, wakapanda mashua, lakini usiku huo hawakupata chochote.

Kusoma sura kamili Yohane 21

Mtazamo Yohane 21:3 katika mazingira