Yohane 3:19 BHN

19 Na hukumu yenyewe ndiyo hii: Mwanga umekuja ulimwenguni lakini watu wakapenda giza kuliko mwanga, kwani matendo yao ni maovu.

Kusoma sura kamili Yohane 3

Mtazamo Yohane 3:19 katika mazingira