23 Yohane pia alikuwa akibatiza watu huko Ainoni, karibu na Salemu, maana huko kulikuwa na maji mengi. Watu walimwendea, naye akawabatiza.
Kusoma sura kamili Yohane 3
Mtazamo Yohane 3:23 katika mazingira