29 Bibi arusi ni wake bwana arusi, lakini rafiki yake bwana arusi, anayesimama na kusikiliza, hufurahi sana anapomsikia bwana arusi akisema. Ndivyo furaha yangu ilivyokamilishwa.
Kusoma sura kamili Yohane 3
Mtazamo Yohane 3:29 katika mazingira