Yohane 3:31 BHN

31 Anayekuja kutoka juu ni mkuu kuliko wote; atokaye duniani ni wa dunia, na huongea mambo ya kidunia. Lakini anayekuja kutoka mbinguni ni mkuu kuliko wote.

Kusoma sura kamili Yohane 3

Mtazamo Yohane 3:31 katika mazingira