Yohane 3:34 BHN

34 Yule aliyetumwa na Mungu husema maneno ya Mungu, maana Mungu humjalia mtu huyo Roho wake bila kipimo.

Kusoma sura kamili Yohane 3

Mtazamo Yohane 3:34 katika mazingira