Yohane 3:36 BHN

36 Anayemwamini Mwana anao uhai wa milele; asiyemwamini Mwana hatakuwa na uhai wa milele, bali ghadhabu ya Mungu hubaki juu yake.

Kusoma sura kamili Yohane 3

Mtazamo Yohane 3:36 katika mazingira