Yohane 4:12 BHN

12 Au, labda wewe wajifanya mkuu zaidi kuliko baba yetu Yakobo? Yeye alitupa sisi kisima hiki; na yeye mwenyewe, watoto wake na mifugo wake walikunywa maji ya kisima hiki.”

Kusoma sura kamili Yohane 4

Mtazamo Yohane 4:12 katika mazingira