14 Lakini atakayekunywa maji nitakayompa mimi, hataona kiu milele. Maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji ya uhai na kumpatia uhai wa milele.”
Kusoma sura kamili Yohane 4
Mtazamo Yohane 4:14 katika mazingira