22 Nyinyi Wasamaria mnamwabudu yule msiyemjua, lakini sisi tunamjua huyo tunayemwabudu, kwa maana wokovu unatoka kwa Wayahudi.
Kusoma sura kamili Yohane 4
Mtazamo Yohane 4:22 katika mazingira