Yohane 4:36 BHN

36 Mvunaji anapata mshahara wake, na anakusanya mavuno kwa ajili ya uhai wa milele; hivyo mpandaji na mvunaji watafurahi pamoja.

Kusoma sura kamili Yohane 4

Mtazamo Yohane 4:36 katika mazingira