Yohane 4:42 BHN

42 Wakamwambia yule mama, “Sisi hatuamini tu kwa sababu ya maneno yako; sisi wenyewe tumesikia, na tunajua kwamba huyu ndiye kweli Mwokozi wa ulimwengu.”

Kusoma sura kamili Yohane 4

Mtazamo Yohane 4:42 katika mazingira