5 Basi, akafika Sukari, mji mmoja wa Samaria, karibu na shamba ambalo Yakobo alikuwa amempa mwanawe, Yosefu.
Kusoma sura kamili Yohane 4
Mtazamo Yohane 4:5 katika mazingira