Yohane 4:9 BHN

9 Lakini huyo mwanamke akamwambia, “Wewe ni Myahudi; mimi ni mwanamke Msamaria! Unawezaje kuniomba maji?” (Wayahudi hawakuwa na ushirikiano na Wasamaria katika matumizi ya vitu).

Kusoma sura kamili Yohane 4

Mtazamo Yohane 4:9 katika mazingira