Yohane 5:10 BHN

10 Kwa hiyo baadhi ya Wayahudi wakamwambia huyo mtu aliyeponywa, “Leo ni Sabato, si halali kubeba mkeka wako.”

Kusoma sura kamili Yohane 5

Mtazamo Yohane 5:10 katika mazingira