Yohane 5:2 BHN

2 Huko Yerusalemu, karibu na mlango uitwao Mlango wa Kondoo, kulikuwa na bwawa la maji liitwalo kwa Kiebrania Bethzatha, ambalo lilikuwa na baraza tano zenye matao.

Kusoma sura kamili Yohane 5

Mtazamo Yohane 5:2 katika mazingira