Yohane 5:24 BHN

24 “Kweli nawaambieni, anayesikia neno langu, na kumwamini yule aliyenituma, anao uhai wa milele. Hatahukumiwa kamwe, bali amekwisha pita kutoka kifoni na kuingia katika uhai.

Kusoma sura kamili Yohane 5

Mtazamo Yohane 5:24 katika mazingira