Yohane 5:39 BHN

39 Nyinyi huyachunguza Maandiko Matakatifu mkidhani kwamba ndani yake mtapata uhai wa milele; na kumbe maandiko hayohayo yananishuhudia!

Kusoma sura kamili Yohane 5

Mtazamo Yohane 5:39 katika mazingira